MADNESS (15:06)
life sio easy kila siku nimekua bizi staki shughuli za wizi tangu blessing ya watoi wawili life imeacha kua triky na hustle Kama chizy multi papos pia na Fanya mziki mkulima cheki napanda miti uta nipata koch nawashika mandizi ama tao koch uptown uko jiji naile jeshi rude ya machizi Leo lazima Nita kiri chini ya maji tuna wapiga pinji hii game naicheza fiti nacheza chini sidai maminji staki kuenda kamiti wana sema nimejenga mwili mungu ndio mpaji amenipa ganji tangu hustle ikue baraka bigy na dream kumake mamili stakikusikia mashilingi makeki wanakam wawili tupac na waroga kama bigy thats why wanataka hii ndizi ndio wapate hii ganji naspend kila wikendi mwisho Wa wiki na akina wendy na penda kiki anajua zile style sipendi napenda akishika miti anipeleke kwa kiti ziki bamba nikwa kitanda kuchafua mashiti kwa stage na wamix kama blenda hawawezi ni dis kwa rap game nawa chenga siwezi wakis machura na walenga Niko biz nauza ndeg'a mtaa Mimi ni water venda nime miss yule x wangu Brenda kusema kweli nilikua nampenda kila siku ya kalenda nivile alianza chenga alini hat nakunitenda baada ya kunilenga jeshi ilimteka ikamkula kama meda kwanza alikua juu ya meza ndani ya keja walikua jicho nyanya denja kwanza benja aku hema hio siku alikua body benda
You may also like

Leave a comment
See track description ↑