DalmondRameyneSapphire -magimbi
mi niko nao wanadai ni makiti mi niko fresh kma vile mavijiti mi niko fresh na bado sijigambi Kama una doh basi we ni magimbi mi niko cool kama mala kwenye friza kama inabo kamwambie matriza mi niko slow Kama maji kwenye motion Kama inago basi we ni expession mi niko nao na bado nina Liza Kama una force basi mi nishadata mi Niko humble mpaka kwenye data mi niko single najiskia nakutaka walidai kuwa mi napenda mavijiti manare na majointi kwangu ziko fiti mi ni stinji mbele ya manjiti Kama Inabo basi mi niko fiti mi ni mashash nafil niko fiti maduba na mapusi nachapa kwenye kiti misi aliti nasipendi mavijiti mi niko simple Kama simple boy Kama inadunda nafil ni mastim mi niko clean Kama hizo masim wacha kujidai coz pia unabo mi niko friky kama vile freeky mi sijidai na bado sina tai mizinga ziko kali nakunywa kama chai mi niko fiti mpaka kwenye dai Kama una lola shika hizo ngwai mistari ziko kali nazifil kama bana mi ni mjaka napenda hizo shada Kama ni majaba kwangu nishadata mi niko firi kama vile bana mi niko nao wanadai ni makiti mi niko fresh kama vile mavijiti mi niko fresh na bado sijigambi Kama una doh basi we ni magimbi
You may also like

Leave a comment