tttt
0:00
0:00
shika kingwai asha courtesy kasher alafu tukisonga mamleina tunawazaba tunawakaba tunawazaama kwa pori tunawafanya shamba tunacome na style ingine free sana ka ni bash tunakuja tumejazana tunajibebea fom ni kuzidisha ujanja incase walalishe si tumejipanga (tuko na malika bila shaka shada) mamorio wananise wakicheki wididi bado zimewashika hawaezi sema hawajiskii ngoma full volume Stoner ako usingizi
You may also like

Leave a comment
See track description ↑