TIP KING ZANZIBAR
TIP KING ZANZIBAR

T.I.P KING_I WANNA TJANK YOU MAMA

T.I.P KING_I WANNA TJANK YOU MAMA

24 Plays

22 Nov 2019

I WANNA THANK YOU MAMA_ SONG VERSE:1 I wanna thank you mama ,i wanna thank you sana Machungu yangu wee vilivyo unayajua vyema You the reason am right here heshima mama Mpaka muda huu upo kiafya njema Leo nasimama wima hadi siku nkizimwa Baaada mungu mama wee dawa yangu ya uzima Nawaza nawe iko siku punzi zitzima Ntalia machozi ya damu cha moto ntakiona I don't want to lie mapenzi ya mama nice You can never describe or to survive Either way yeah you like jibu only yeah right Everybody i'm right? yeah you are right The only thing i wanna pray me through the lord Atukutanishe peponi our God I don't wanna see the world with one O Ukanifunza mazuri na mabaya All Umenilea mwanao me nikufae Narudisha kwako upendo usishangae Tumepita maisha magumu nikomaee Nisitamani cha mtu tamaa mbaaee Maisha bila uwepo wako mama i'm feeling lonly Umenipa elimu tosha mimi from beginning Niweze changanue maisha akili isiwe wrongly Na maisha .com hukutaka niyaone Asiyefunzwa mamaeee hufunzwa na ulimwengu Thats why inanibidi hekima nyingi adabu Naogopa radhi zako kwa mungu nako adhabu Dunia tambara bovu wahenga yao makavu Naogopa pata tabu kufanya maambo maajabu Nakupenda mama angu naogopa me kutubu Mtoto kwa mama hakui cheo chako dhahabu Never turn your back on me cause no one above you

1 Comments

Leave a comment

You may also like