TIP KING ZANZIBAR
TIP KING ZANZIBAR

T.I.P KING_MKALI WA RHYMS

T.I.P KING_MKALI WA RHYMS

9 Plays

21 Nov 2019

MIMI MKALI WA RHYMS Mimi mkali wa ryhms Mkinitusi mkinidiss sijali ntazidi juuu Mimi mkali wa rhyms Mkinisema mkini snichi bado ntawapa sum VERSE:1 Bwana mdogo acha zogo man hip hop haitaki shobo Nenda kaimbe tarabu nigga hizi another level Mimi simba wee swala natawala yote jungle Nakutusi kwenye mic accapella beat intstrumenatal No way to go umeyatimba in my zone Unakumbuka before nilikuomba battle Ukaingia mitini mashuhuda pia wapo Unajita mkongwe wa game unagopa kichapo I don't care for your sake mimi O.G wewe sample Usone nakudharau pakaa nyie kwangu mifungo Hapa ni kazi tu Magufuli sera ya Bongo Huwajibiki kujituma mambo yatakwenda komboo Me ni mkali natafakari mc me mashuhuri Hip Hop ni ukweli mtupu siogopi kuongea ukweli Mashabiki rasilimali nawapa ladha kamili Ndo maana siwakejeli na wala siwatapeli Sifa zote za nini yapaswa kutumia akili Puchline zangu telee i show off kama mbelee Sijanzaa ku rapp juz from madiba enzi zile Kama you don't know track ya kwanza inaitwa shule. Sishiwi na maneno maneno wala misemo Sishiwi na vigezo vigezo kwangu msimamo Falsafa yangu ya chuo naandika kwa ajili ya funzo Napiga mashuti ya mbali nione yangu mauwezo Simuhofii me msanii hata kanizidi vyanzo Wewe ni Givanail mwenzako mimi ni central TIP sinaga scandle ama kiki za toto Sitanisaidia nini nawaza yangu michakato The call me legendary mkali kwenye mashairi Sitoweza kukubali mziki wa zenji usende mbali Naanzaje kwa mfano kuweza linda bahari Kama unataka jibu waulize wahenga ukwelii

1 Comments

Leave a comment

You may also like