Athu Belloh
Athu Belloh

Athu De Belloh- Walimwengu

Athu De Belloh- Walimwengu

28 Plays

28 Apr 2019

Ni walimwengu bora Wali Nazi../ Utapigwa majungu hasa usipokuwa na kazi../ Hata uishi kizungu lazima umwagwe radhi../ Na wanavyokujua hasa kuliko hata wazazi../ Usipopendwa utasikia mengi haswa../ Utasemwa skia hata ukipiga chafya../ Utafatiliwa sana hata ukifuga rasta../ Utaitwa muhuni mara vinywele havina afya../ Ni hawa hawa walonivika ubaya.../ Iliskika athu jeuri kisa nimedhihirisha haya.../ Juu ya midundo huru nimedhihirisha umalaya.../ Jinsi Nadate na hizi beat bila kuona haya.../ Wakadai navuta bangi kisa hizi rasta mbili.../ Wakaichafua rangi kabisa wakaninyima dili.../ Wakaniletea dhiki njaa ikanikabili.../ Wakanitenga na mziki na ushabiki nikapigwa ngiri.../ hawa marafiki uchwara.../ wanaonisaliti wanani'yuda Kwa mgongo wa gwara../ wanaonielekeza njia kwa kutumia ishara.../ ndo marafiki hewa marafiki hasara.../ Walimwengu wana mengi ya ajabu.../ wakionacho ni upungufu hata ugawe dhahabu.../ hata ujipendekeze vipi bado utaonekana tabu.../ utaonekana adui na kimipango sub.../ jichunge nao wenye roho za chuki.../ wanaisema risasi ikiwa wameshika bunduki.../ wakihitaji vita nawe huku huna hata mkuki.../ sa si udhulumati tena nyingi ni nuksi.../ Ukiwapa fursa watakutawala.../ ukiwapa nguvu utaburuzwa kila mahala../ utapelekwa puta si masihara.../ wakikumaliza kwa sifa mithili ya mshahara.../ sa sijui wanachofurahia nini.../ wakiona wenzao wakipiga chini.../ au ndo uchwawi furaha tuwe maskini.../ sa sijui tutasaidianaje kati ya wewe na mimi.../ THANX ALL #Assalaaalek #MtotoWaBibi Nondo Army #Team_______Wp

1 Comments

Leave a comment

5 years ago

You may also like