look at me
0:00
0:00
bado life kulirudisha nilizid kupambana kachaa nipate chochot kidogo lkn sikukata tamaa nilipiga magot kumwomba aliye juu anipe nguvu ya kupambana bado najipa moy nitapata japo dhiki nyingi kuliko Raha sijawahi kupata furaha toka utoto ni MUNGU tuu MUNGU tuu atanipa kwann sio mbaguz wla yy sio mwana damu hachagui mweusi ama mweupe wote ni wake olny god anaweza mnaobisha mmelaaniwa japo jua kal nitasavaivu nitavumilia na maumivu makali oooh oooh oooh
You may also like

Leave a comment
See track description ↑