nasty pri_ce - fast life
mi nikama ball shoter mi nikama criss mi ni kama ruder na siondoki kabla moshi haujafuka complessor ka ni money haist mi ndo proffesor am i washkaji wananiita mapesa big boss from monday to sunday nasaka bingo nataka dem mwenye big back mwenye big nyash awe shepu imo i see love kwenye venoum ...tears kwenye bithday ndoto kubwa kama nyumba ya kikwete vyuma vimekaza kama chuma hali tete michongo ina buma kama moto wa matete bongo ..nyoso oya hali tete mzee wa totoz ni wembe kwa wembe yani unapaka na mkongo kumbe dem ana cheche eyy yooh fast life .. its too risky ,bad life nikiwa na wanangu kama bloodline nikiwa nawanagu we are bad men i gat bad behaviour with good name si tupo juu ukitaka uje kwenda juu inaitaji energy wreter to my enemoes hamniwezi gadamint uwezo kama kendric uwezo kama emminem kama jz uliza nani anayo crown king henry hata ukiniambia ni stop you cant stop scott nipo mbali hawanioni bila microscope mambo gani ya utani kwenye pesa bro mwaka robo fainali tunaweza tough am getting it right...show me your lines ..they tell me to do it in a way they cant even do it right
You may also like

Leave a comment
See track description โ
yo idk what is this language but fire Bars: Great ๐ Delivery: Dope ๐ฅ Impression: Dope ๐ฅ
Bars: Dope ๐ฅ Delivery: Dope ๐ฅ Impression: Dope ๐ฅ