fabis... rack
RACK filamu noma tena sana kalamu tupatane tona kucheki nani mnoma bana si geuzi nyama choma tena hekaya siwezi goma tengea hapa ni boma na shikisha hadi homa sheng ina sound noma. maisha kuweka koma ni vile job nimesoma tegea utatupa aroma sembe inajenga mjomba naogopa tu cobra naskia penye inatoka mafuta ya taa okoka. kupanda na kuomoka tulia unacheki soka mboka unatoboa hadi kwa duka stress vile inashuka. zawadi skia inaruka mavazi ndio inavuka sitoki klabu kabla kuwaka umri nimefika ya guka chuki unatupa ni nuksi jenga keja kwa maabusi usijam cja set matusi harusi imetupa keki mbuzi inashakuwa cheki waatalam wanaskia nduki sekunde moja ya luki silambi hata machuki kelele inapiga haishuki raha ata sikumbuki jamaa nimemcheki wiki dame anaitwa niki pasua una feel thiki kuchagua unapata pikie akili inagonga freki usicheka ukaona huskiki kaza tunapelekana harusi bwana anaka mweusi malaika pia dausi. kushika hutaruhusu kubali hakuna mabusu teremsha maisha na jusi nimekomesha virusi nimecheki ikitoka kisu alitishwa na pisto makelele juu ya risto akichapa ngoma ni gusto kesho inakuwa histo. maombi mbele ya kristo unalamba vidole kwa fisto vile unaruka kwa disko
You may also like

Leave a comment