NDOTO ZANGU
0:00
0:00
Ilianza ka mzaa nilipoanza kuandika nakurap nilijiona ka shujaa mbele ya marafiki na jamaa sikujua ndo kipaji nilichopewa kuanzisha my life kilikua ndani kwa ndani mara tu kika pop up sijui why nikaa nzaa kukikuza darasani na mwanangu wa uwakika akinambia siku moja itajipa Namipia sikusita nakuomba kwa ujira nilijua Nami Mola atanijibu simuda huku nikijaribu nakuimba huko nyumbani watanijua ka singer achanaa namimi bwana nina ndoto zangu achana namimi bwana nina mambo yangu siunajua binadam hatwezi kosa kasoro pia dosari
You may also like

Leave a comment