Aloo
0:00
0:00
Arif anatwitia pati,kumbe keja ni ya mabati anadai tumange chapati hajui mwanaume kula ni bahati mresh unadai anakupenda kwa dhati na hajui uliomba ata shati niliacha ukiskiza carti ona ss unaskiza bahati tuko baze na machaji tunakuza talanta we uko huko unadai kuwa pastor nashangaa utafanyaje na una rasta na ukiona haga za yule matha unazifwata anaku injili utatangaza ,hapo labda uchafue tu rada we huniona baze hujui nina ma mili lkn juu ya mbogi inabidi nicheze chini ni Vile sipendi kuchafua scene ju kutangaza ,utachangwa ,kisu itatembea kwa mwili
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
KILLED IT 😵