baby wangu
Dallas Texas Dallas Texas Dallas Texas. Mimi huko huko ndiko ndiko nilipata bibi na watoto na watoto na watoto. Go Dallas go Dallas go Dallas big city big city big city. Baby wangu baby wangu baby wangu. Don’t worry about sidi charo sidi charo sidi charo she’s not my love. Baby wangu baby wangu baby wangu usiwe na hofu . Mpenzi wangu mpenzi wangu mpenzi wangu niwe we tu niwe we tu. Baby baby today cook spinach cook spinach cook spinach with fish with fish with fish and yellow rice and yellow rice and yellow rice. Nina njaa mimi nina njaa Mimi nina njaa mimi. Baby babe kesho kesho tunaenda kununua vitu vitu vitu vitu vyanyumba vipya vipya vipya vipya. Kwasababu karibuni tutakua na party hapa nyumbani. Baby wangu waalike marafiki zako zako . Don’t worry baby don’t worry baby about sidi charo sidi charo sidi charo she’s not my love . Mimi niko niko na wewe kufa kuzikana. Mimi move forward I move forward I move forward with you baby with you baby.
You may also like

Leave a comment

Money 🤑 Money 🤑 Money 🤑 #bulletproofvid Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯
Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯