Kam sio

0:00
0:00
Kam sio

amani Kwenye hip hop nilitoka mbali ,mpaka now nashukuru gad Kwa kunipa kipaji Cha kupanga mistari,kuoneka hatari hata nikiwa mbali Kwenye hustle kama nembo , nipitapo na malengo Nimiliki kamjengo ,niachane nakugnngea mageto Ofisini niwe na kitengo ,na magari kama tembo . Chorus Namshuru gad nashukuru mola , nashukuru baba namshukuru mommy Maana kama sio nsingefika hapa ,maanaa kama sio wao nsingeua rapa , Maana kama sio wao nisingepata jina ,maana kama sio wao nisingepanga vina

1 Comments

Leave a comment

Author
11 days ago

User avatar
147
Total plays
21
Followers
5
Following

You may also like