Chrissy the star

0:00
0:00
Chrissy the star

Yeah ahaa it's a dogo Chris oky , VERSE 1 Kwa majina naitwa Chrissy ,msani wa kitaa , I'm the rapper ,na Waka kama taa, Ndoto kubwa kichwani,natamani kuwa star, Na force Kam hustler ,daily kusaka chapa I believe to my good , namaombi ya wazazi Nisichoke kupambana ,mpaka niache legas, Na Bado wananiombea one day nimiliki cash , na ku change noti, Tuishiishi nyumba Kali ,nakumiliki magari Chorus I'm the Star kwenye hip-hop,star kwenye hii rap , Star kwenye flow,star kwenye show ,yani star mpaka kwenye dollar.ohhhhhhwooooohoooo star owooohooooo Vers 2 Si force kwenye hi game ,na chana kwa verse adim, Ndo maana na verse hatari kama zimetoka jem, Bado natafuta Hakim,maana kesi imezidi kua ngumu Kosa lile lile la kuuwa beat kwenye verse na kuwaacha mashabiki mdomo wazi. Chorus I'm the Star kwenye hip-hop,star kwenye hii rap , Star kwenye flow,star kwenye show ,yani star mpaka kwenye dollar.ohhhhhhwooooohoooo star owooohooooo directions

1 Comments

Leave a comment

Author
11 days ago

User avatar
147
Total plays
21
Followers
5
Following

You may also like