life ni hard
0:00
0:00
yo yo naigia kaa the rock ndani ya rampage ndio niteke waisilamu na Salaam ya Ibrahimu malidaaas wmeleta ujinga , kaa kichupa cha dalas ndio nicheze filamu ya lazaras ndani ya Samsung. mie ni mark4 long target chunga kuwa next target tukikupick wapate tushaa pika Mario kuwa ritho ukiwa kwa akina eriko tusikudelete kaa manyanga iko rikoo mie die Gerrard wa kenya kuwabebea kikombe kaa team ya kenyaqaqa
You may also like

Leave a comment

This is a banger nice dude keep going the next best rapper on this app!!!!
You try you just have to put more effort so that you can get to the top