madmau

0:00
0:00
madmau

yo yo sitambui hi life ya magwangi mademe wameiva kaa supu ya bangi , mistari inakam ikiwa moto kaa mutual ya mwangii jana nimebaja na kadogo akaniambia nikuje na unga ndogo Life imenoji ka gundu imejazwa hewa sijui embeneza atashuka aje atufunz3 kigereza am life nigumu kwa hi uchumi ya kidiki na bro yake wamegeuza kenya kuwa haiti wakenya woje wameguya kaa vijiti sijui tutapata uhuru au tutatumwa tukasake huru arusha kaa kurusha dimaga kwa akina rushaa. mdomo iko mbele ya kichwa kaa mafan wa arsenal i corruption ikanyanya kenya kaa mkutano wa kuguni ,mtabaja kenya ch lazima mtajua atuchotagwi kirahisi this time atuchagui rais virahisi , mtanawo hi ni g3 ya kuwapepeta kaa haiti ndio mjue sisi si matiti yenye mnadaraga kaa maidi

4 Comments

Leave a comment

Author
2 months ago

great job I love this outfit bro keep it up with the vibes

1
2 months ago

Yo @elizabethndunyi! Waddup. Thanks for sharing your song 'madmau'! 💥 Here's some words of advice on the next one: 1. Study 🤓 - Spend some time reading through the bars before you rap so that you get used to the flows. 2. Remember to be true to yourself - authenticity always makes the best tracks! 💯 3. If you're lookin' for a bit of extra sizzle, try out some of our vocal FX. 4. Use denoise on your vocal to reduce the background noise on your track! 5. Make the step up to the Rap Fame Studio to produce a full track! We enjoyed listening to your music, please share with us again! 💪 All the best, The Rap Fame Team 😎

2 months ago

Hip-hop royalty in the flesh! Keep the tunes coming! 🙏

1
User avatar
84
Total plays
14
Followers
11
Following

You may also like