baby you are beautiful and gorgeous and powerful

0:00

I’m in love with you baby please don’t be mad with me baby because I can’t be with you all the time. Mimi Jana jana nilienda nyumbani kuchelewa kuchelewa kuchelewa. Nilifika nyumbani nausiku . Nikakuta bibi yangu yuko yuko kwa makochi angalia tv mimi nikamupa salamu. Yeye Kanyamaza mimi nikapita nikaenda jikoni kupakua chakula kwa sahani yeye kanifata kwa jiko nahasira zake zake. Akakuja kunipiga makofi yauso mimi nikaona umeme kwa macho yangu yangu mimi nikabwaga sahani ya chakula nikaanza kulia yeye akaomba musamaha pia mimi nikaomba musamaha kwake kwake. I Love you baby I love you babe so much . You’re beautiful and gorgeous and powerful. Nakupenda baby wangu nakupenda nakupenda baby baby wangu nakupenda sana. Baby babe imagine you and me together flying to Chicago to Chicago to Chicago spend weekend together and then we go back home.

3 Comments

Leave a comment

Author
1 month ago

Shattering expectations, every drop's a revelation! 🌟 Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

1 month ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

User avatar
27.88k
Total plays
740
Followers
574
Following

You may also like