Stay Humble (16:10)

0:00
0:00
Stay Humble (16:10)

it takes a king to rule a kingdom a king who never fumble to get far,I need to humble,,,,before myself in my world Maparo walikua servants years after years na hio pain deep naskizia ni generational hii haitaji brake future yangu ni bikra juu chini ntaibrake naongeza shingo na macho niwide consciousness ndo God daily ataniguide mi ni GOAT in my world na sina servants sidai respect zao, walidie after kukubali respect si zao kuna places nilipanda zikanishukishia mazao hii life si kila place unadai mathao bro apa kupenda huyo dem hata bila rangi ya thao hawana adabu skuizi wanakatia age ya matha Yao na waresh akuna age wanakatwa bora wapate tu mathao si aki dem akiwa myoung anaweza kuonyesha MADHARAU kuna boy alipenda madharau lakini skuizi wameachana ka ni meno alitoa uwezimshow inaweza umana mi si Israelites siombi quals na Juu we si God siombi na manners mtu wangu najua kujitafutia in every manner ndo kwa table mi hueat bila manners uliza magood boy sijawai kua na good manners uliza mresh wangu nani alimfundisha bad manners ngori ni hesabu mbaya niliziminus

1 Comments

Leave a comment

Author
3 months ago

User avatar
2.59k
Total plays
498
Followers
1
Following

You may also like