Early Bird Spec (08:33)

0:00
0:00
Early Bird Spec (08:33)

kama mahewa hapa full blast hakuna kupimiwa flames blue hapa zinawaka hakuna kukaribia nawapiiga manock outs KO nawamalizia mi sidai mi sidai hadi day utalive kama kusurvive huwezi ,mkono ya buriani kwa hii life ebu jaribu niseti nikulipukie usoni mi si gang star but star kwa hii gang jamaa wee si mjanja bana kila skuku chinge ni masungura hivi ndo si husail hii mtaa tumeshika luku sana usidhani si foreigners si hutoboa man biz zote ka kichungi sare fom za senye ,na kujiseti kwa menje hii gova ndo cago man Early birds ajawai shika warm skuizi waite wasiliti .com wako reciti skuizi waperfom waeziget white collar bila job scholar anakata mboga na watoi nyumbani ni ugali bila mboga

1 Comments

Leave a comment

Author
3 months ago

User avatar
2.59k
Total plays
498
Followers
1
Following

You may also like