Ngao freestyle 2026 Buyado Boyka

0:00
0:00
Ngao freestyle 2026 Buyado Boyka

Ilibidi mi nipige verse ya nguvu mahaters mi siogopi kuwatikisia nyavu leo nawascore nyinyi wapumbavu hii wataitazama kwa chijo la tatu daily street tu ni umbea masnitch kwenye vikao wanashindwa na mambo yao wanaongea tu ya wenzao mambo ya hapa ngao mmh kuna habari kibao utapata mtu wa miaka kibao na bado anakula kwao utapata mtu anawatoto kibao na wote hawawajui baba zao mhh sister doo usiponielewa kwenye mziki huu utanielewa siku nitakapo kufungua miguu sisi Daily tuko busy tuko studio tunatunga na tunashine mkate sio mgumu mbele ya chai unajidai unaringa unaona watu hawafai ipo siku utanikumbuka utasema he was my guy eh let me whose your guy get away i say bye bye wacha tu itabaki story tena nasema I'm sorry nyinyi wachawi don't worry one day mutapata trophy one day mutaingizwa kwa coffin hapa ukiskia njaa utakula kofi wanoko wasenge nyinyi mashetani tunawapiga mateke tunawamada waliotaka sisi tuteseke wananiita Boyka sikizia mapunchlines si mangumi na mateke skizia rhyming ndani ya hili debe tutashine forever mpaka cc tuzeeke saahi wacha tu watu watucheke tutahit hadi waje watetemeke naomba mungu pia mi nitoke naomba mungu pia mi niomoke yani toka maghetoni

1 Comments

Leave a comment

Author
4 months ago

User avatar
365
Total plays
73
Followers
82
Following

You may also like