Trench ya ghetto
.ni raymkadinali. upcoming star so .lazima niwashow venye raundi ilichapwa iyo shift.. juzi nmekua na shorii flani msapere akinivuruga.. venye food imeletwa bila chipo .. I forgot there tribe Kikuyu.. food lazima iletwe chipo.there step food..waaah bill ishafika namba nane .. excuse nlishow waitress naenda msala nakam.. nlipita na mlango ya kitchen pale ivo 5star hotel tao.. nanikaenda mteja wa nambari ..waaah kumbe kina scar walikua studio.. nikaingia Stu ,,ka hustle ya daily kungangana,, najua mi nimtenda dhambi lakini naomba God akibariki wengine pia asinisau .. mamboyz walisafi kimangoto.. nlifika kazimeshika.. nlijuanga nkipatana na mabeast wataniosha vizii.. kumbe walikuanga washafika Kwa onyi pale ivo kebs..akaoshwa kibrown Kaa sheria...kidogo nikaingia ghetto mabatini Kwa mama Mish kuwakilsha officy.. ndo nkaanza kuingizana mtaani Kama trench ya kawa.. Alafu Tena joh akakam na maheader za euro maswafi tukaziset .. juu mi ndo ukua don mtaani nlisuka jirani wa area uskii kabla ya salamu mshoree ashaniambia nifunge zip wa nkamshow mi ndo Gee naitwa mkadi.. msupa alimbambika nikimshow venye nii mali ...ashanichapia venye adai rada ya mbogi wueeh..a nabado babuela alikuanga na wapoa ma area wakiwa na kina difre na Mjah...4:20 ni Kila siku.. man kitu moja usiwai fikiria kusahau..kumshukuru Mwenyezi Mungu..yoo ni raymkadinali..
You may also like

Leave a comment