Tukitaka maendeleo Buyado Boyka
0:00
0:00
Tukitaka maendeleo (better day sacrifice beat) Tukitaka maendeleo ni kuwacha ukabila twende mbele tukitaka maendeleo tuwe na umoja Kaunti yetu ya Tana River Kenya nzima sisi ndo tuko nyuma hiyo yote ni sababu ya ukabila siasa ndo zinaturudisha nyuma Tukitaka maendeleo ni kuwacha ukabila twende mbele tukitaka maendeleo ni kuwacha ukabila twende mbele Tukitaka maendeleo ni kuwacha ukabila twende mbele tukitaka maendeleo tuwe na umoja Hakuna mambo ya kureba nguziii sisi vijana tunataka kaziii viongozi muachane ubaguzi msilale endeleeni kufanya kaziii Tukitaka maendeleo ni kuwacha ukabila twende mbele tukitaka maendeleo tuwe na umoja
You may also like

Leave a comment

Respect 🤜🤛