Pastor Hater Nitakupepeta by Buyado Boyka

0:00

mbona we ni pasta tena we ni hater mbona kila time tunateta teta x2 hater hater hater nitakupepeta neighbour neighbour wacha kunifwata fwata umefanya hata sikupendi nakuona kama pasta makhenzi siku hizi watu kanisani hawaendi weekend sadaka yangu mi naispendi we ni pasta mgani unapigana madhabahuni mi sikupi hata fungu la kumi unajiona mhuni na huu wimbo nimebuni nikuonyeshe kuwa mi ndo mhuni ukitaka ngumi njoo niko hapa jirani I'm always ready hata. tupatane njiani namada beat ju me ni monster mi ni rapstar mi ni mrasta mi ni popstar siamini mapasta si mnakula sadaka mnakumbuka story ya shakahola mi sitaki kutolewa kafara unakumbuka uliniseti kwa mamwera hujui ulinitia hasara ulitaka nifungwe halafu iweje unaabudu Yahweh na umesupport eti mwizi auwawe naomba kukishikwa mwizi umuanze wewe kama unamapepo unafaa ukemewe KAMA unautoto lazima utolewe

1 Comments

Leave a comment

Author
6 months ago

User avatar
365
Total plays
73
Followers
82
Following

You may also like