singer:T.BLOODLINE (CHILI NAO)

0:00
0:00
singer:T.BLOODLINE (CHILI NAO)

nilikua kimya,walidhani nmeshindwa lakini sikukata tamaa nikaandika mistari nikachora ndoto Leo naingia studio wanaleta moto flow safi coz, nachili nao walinicheka,walinibeza sasa wanafuata wanataka pesa sisi kama sisi tumezoea game kama fifa nachilinao hadi waone shida punchline ni kifaa kwenye mic ni kama simba mimi ni moto na siwezi zimika nilikua mtaa na ndoto balaa walio nidharau,sasa wana ni TAG nimekua brand,sihitaji BRAG Waliweka vikwazo,nikaweka bidii wakaweka maneno nikaweka akili sasa naangaza kama taa za jiji wanauliza siri,nawasihi wajitahidi Nachili nao, nimeshika bunduki

1 Comments

Leave a comment

Author
10 months ago

User avatar
256
Total plays
18
Followers
11
Following

You may also like