Nipe saa moja(Nyimbo ya wokovu_remix) - Chrispin

0:00

(Nipe saa moja nawe Yesu, kwani giza iko duniani! Natamani kukukaribia, kusikia neno lako zuri.) [Verse 1] Nipe sa na moja nawe Yesu, nikichoka uku duniani! Hata nikiona vita kali, wanistaresha siku zote. Usiwe mbali nami maana taabu i karibu, kwa maana hakuna msaidizi. Mafahali wengi wamenizunguka, Walio hodari wa bashani wamenisonga, wananifumbulia vinywa vyao, kama simba apapuraye na kunguruma. [Chorus] Nipe saa moja nawe Yesu, kwani giza iko duniani! Natamani kukukaribia, kusikia neno lako zuri. ×2 [Verse 2] Nipe saa moja nawe Yesu, katika jaribu na taabu! U makimbilio yangu mema katika hatari na ghasia. Ata nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana wewe upo pamoja nami, Gongo na fimbo yako vyanifariji. [Chorus] Nipe saa moja nawe Yesu, kwani giza iko duniani! Natamani kukukaribia, kusikia neno lako zuri. ×2 [Outro] Nipe saa moja nawe Yesu, uliechukua dhambi zangu. Ninataka kueleza yote, kwani unanifaamu sana.

1 Comments

Leave a comment

Author
10 months ago

User avatar
783
Total plays
74
Followers
89
Following

You may also like