onece nakupenda sana
onece nakupenda sana staki kuku danganya najua wana chonga sa na napokaa mawazo nowewe nakupenda naomba nielewe nitakua na wewe kinijibu usichelewe usiende mbali nisije baki mwenyewe mapenzi yamejaaa zogo na balaa kwenye mtaa kwa kuona kwako ninavyo zubaa huba huba lime nishika kama najaa i love ilove nashindwa kataa nakuoenda japo wanga wana chacha maa ntakujal ntakulinda sita panga chooni kwa uzuri wako mwengine mi sikuoni nakuoenda ishara ya penzi mama iko moyoni sio uzuni wala soni amapenzi yako uvunguni nitakua na wewe sita kuletea uhuni chochote nita nunua naogopa usije jinunia uki kasilika naumia natamani ata kulia kiukweli na waza utavumilia kula ugali na bamia si una jua mama sisi ni maskini uwepo wako power mboso nae kaishiwa chini mapenzi siamini ila penzi lako natamn
You may also like

Leave a comment
See track description ↑