i am chasing Pay - Uyox Rich
i am chasing pay yyyeah men i chasing pay nimetumwa pay ndio sababu daily nawinda pay i achasing pay,i am chasing money i am chasing cash i ma chasing pounds dollars shilling kwa hii sichekeshi wenye maswali waambie mi n king wasibaki na desh siutosi msingi, sikati ring am genius i am not crazy ntarun Town tu one-day ingawa my style haifanani na jay Z najikubali full confidence sina habari unayesema siwezi ni kommando ila sio kipensi full gwanda sio kindezi sina time na mapaparazi daily na focus kupanda ngazi uchumi unakuwa ukipiga kazi jero buku hadi misimbazi your special ulivyo mgomba hauwezi kuwa nazi ni mikazo bila likizo kwa msisitizo hadi z nkikosa pesa sioni mtu nkizipata hadi aliyenichukua kuniambia ananipenda anathubutu namwamini Mungu sio mtu kwa jasho najinoa kwani hakuna mshindi butu ability is my weapon ubunifu umekuwa mtutu nawelenga na wananioni wakinisikia wana ji shuku Anga za agle afiki mbuzi simba tembo hata kuku piga domo minnaoshe ujuzi Mtoto wa Mungu siogopi juju international is my target Sina time local i follow my dream bila kuvibrate ni ryme sitawapiga viboko president on hiphop Government yeah town nimetumwa maokoto mapito na changamoto ndio sababu ya ujasiri ipo siku ya kila mtu kesho Mungu kaifanya siri life is hard ni safari ya makilomita kuna giza na nuru unaposherekea kuna mtu amekunja ndita mapito na changamoto ndio sababu ya ujasiri ipo siku ya kila mtu kesho Mungu kaifanya siri
You may also like

Leave a comment

Money 🤑
Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯
Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥