Pagawisha Buyadoo
pagawisha staying silent Kutoka Ngao Tana River nawakilisha hip hop Kenya nzima wanapagawa mafuns wangu na mahater wasionipenda leo nawakalisha wananiita Buyadoo yule wa kusaka doo ukiniona ninaflow juwa ninasaka doo Dj ongeza tempo waiter ongeza tembo nahisi kama niko na mapepo I'm dancing with the devil hawawezi kunitisha wala kunibabaisha hakuna mtu atanifunza maisha pagawisha paga paga paga it's money and power thank you God kwa kipawa you wacha upuuzi ukipata pussy tumia soksi epuka nuksi you so stupid unataka nisake ndo nikupe na mi skupi hatupagawishwi na madada tunapagawishwa na mashada hatuagizwi na mabossi sisi wenyewe ndo mabossi ka Mpesa hakuna float nzaitoa kwa posh pusha washa moshi niruke kutoka Arusha mpaka moshi narap na sikomi natunga na sikopi nikipaji mi siforce
You may also like

Leave a comment