Taveta bullet
Mi ndo mwalimu acha niwafunze, nyi marapa mliokosa adabu mkaanza prostitution, Ssaru wa manyaru ako confused useless, Mi ndio mwai niko apa kubadilisha constitution, Ako wapi Trio, Bado ana dweet ama amechio, Dance styles zako booring, Mi saii nimeboeka nikiskia trio am just ignooring, ati zubi zubi na mbuzi na ni juzi ulianza sa unaudhi kila mathe kila baba mara saba kaa utafika, Ngoma zako nimeskiza lakini sijaridhika. sina ubaya kaa ni collabo i'm in, Mi naplay kisha napray sema aamin, Mi ni duka la mistari kuja shule kuna canteen, Na ka iko haga acha ata mini toa adi panty, turudi enzi za mababu, enzi za adabu kwako ssaru wa manyaru, sasa amemaliza game na nyama freestyle, uui mimi ni vegan sili nyama mtaiga mtaita mimi ni mtaveta, Nimeboeka keja ndo maana ninateta, Pesa ninasska yaani doh mpaka cheda, Biz ni ma talent ka ni doh italeta chiiia
You may also like

Leave a comment