level up Buyadoo
0:00
0:00
waliona ka wazimu nikirecord na simu saahi niko na home studio sina misimu iwe mvua iwe jua napiga hatua natanguliza dua naamini ipo siku mambo yatakuwa ju wananitambua na niko sure we started from bottom na we here naamini hata wasionipenda wananiskia
You may also like

Leave a comment