Don't you see me a Gangster Buyadoo

0:00
0:00
Don't you see me a Gangster Buyadoo

I'm dancing with the devil woza woza hii ya leo kali imeweza mi ni mkali nikiimba wanacheza I'm dancing with the devil sijui ka nina mapepo dj ongeza hiyo tempo I'm on another level I'm not a monster I'm just a star niamini niko juu siko chini sijui ka utanyambia nini mwataka kuniroga hamnipati mi nasonga hamna bahati najitoa kibiashara usinione fala kila ukiniona kwa barabara nawadara dara kila idara nasimama kama mnara tena imara siwezi parara nawagwara gwara sitaki ufala mziki wangu huwezi lala kama maziwa lala sitaki ufala mziki wangu hauwezi lala kama bongo lala usiku silali natunga misatri nakesha kama bundi na cash out money tena naspendi na sipendi poor spending naspend spend poor spending na huwa sipendi nakula handas pesa otas pesa karatasi wacha nijajaz tena bila wasiwasi mi napanda ngazi kazi ni kazi lakini kudhenga sio kazi usiwe lazy utakufa ukiwa mwizi si we ni jambazi wengine wamekuwa paparazi aki Walai wanaleta uspy hatukatai but hiyo tabia haifai invest ukiwa hai usijidai ukianguka watakucheka wakifurai aki walai mi nawasha ngwai nifeel airee sitaki ukware mi nakula paree I'm dancing kwenye dance floor tena ninaflow nawashow kuwa niko ligi soo siko ligi zao Buyado wao Ngao mkali wao

1 Comments

Leave a comment

Author
1 year ago

User avatar
365
Total plays
73
Followers
82
Following

You may also like