you have changed
0:00
0:00
Skuiz umebadilika sio kama yule nilie mzoea Nikitoka unatoka sijui wapi unaenda au ushanizoea Nikisema unafoka unadai mtu mzima utakikupangiwa Mambo unayofanya sizan kama tunaendana Shetani gani mchizi aliyekuingia kichwani Ukashindwa kufikiri unayoyafanya matokeo n nini Kama pesa shingapi kipenz mbona nakupa nyingi Au tendo stress nambie wenda sikufikishi Umebadilika, tenaa sanaaa sii kama jana , tofauti kabisa Umebadilika , Vingine sisemi kuficha yako makucha Umenifanyia mamkubwa nakumbuka Usemi wa wahenga Dunia tambala Ushakuja Malaya unaugawa sawa
You may also like

Leave a comment

Your flow's a wildfire, unstoppable and fierce! 🌪️ Keep grinding ✊ Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯