pambana

0:00
0:00
pambana

Kuna time unakuwaga msoto Mpaka unajichukia ,kuna vitu huwezi mudu si unavisusia,maisha ni hatua kubali Anza kujikakamua Uyasemayo huwezi mwambie mungu akushindanie Usiwape sikio wenye chuki watakwambia njia isiyo ndiyo. Ukiwa solo pambana My friend pambana Mbeki kuna mafanikio taking. Yafanye mambo yako huku ukiwa na furaha ,jua yatasemwa mengi kukukatisha tamaa. Funga macho omba Mungu -utakalo utapata bora tu imani yako na matendo yako yasikuwe ni bapa. Ukikosea Anza tena Anza a

3 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

Legend! 👑

User avatar
562
Total plays
70
Followers
44
Following

You may also like