Blind (14:36)
0:00
0:00
skia onja ladha choma kanja medi wanja vuta ganja shikamo marahaba toka syaka kama mwanariadha hapa ni siasa toka syaka niite mwanariadha tabasamu analau sijui kama nakufahamu kweli wee ni mwanadamu sijui kama nakufahamu. nilikuwa na hamu ya caliweed after kuona pedi kimoja cha kumedi about situation ukiwa na mawazo una get it ni December natafuta jeggy maziwa nonono nataka kulipa deni zote za mchina .niko mrima at the top long time ago nilikuwa na mawazo kimoja kisafi cha kutuliza meditation niko hapa sina form Niko mrima at the top sijui niingie kariako kimoja kisafi kiel chapo long time ago sijakuona sijakuchoma
You may also like

Leave a comment
See track description ↑
Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯