know that
the day is this and no one can stop good deboz fanyeni kuket kwa kuturia msikirize hii injirii mm sio pasta,shee wara nabii mweny utabiri nafanya kirakitu mwishon mm nasari,na mkaribisha mungu maisha yawe na uwafadhari,sjivunii,sjisifii wala siishi kwa kukariri maisha ni safar wara siendekezi kiburi sisi ndo wate turiokua kwa nguvu zetu wengine waritucheka kisa tunatembea pekuu,atuna cha kuruthii zaidi ya majina ya ukoo ata sehem yakukaa irikua shida zaidi turikaa kwenye ndoo nirikaa nkafkiria nkasema NO nijambo la mda goodluck let us goo now thanks God mpaka apa nimefka sio mabibo,mwenge ,sinza mpaka chanika ira n because of sucess ya uwakika,never give up,amka omba ,hustle mung atafungua at ukiwa macho
You may also like

Leave a comment