Wrong time
0:00
0:00
Si mafund wa kubeng kila mchongo kwetu Supa Sisi so matajiri ila floo tunazitupa So mkileta ujinga navunja mpaka mifupa Ukitaka kunishinda kwanza Kalia chupa Nafanya navyowez kufanya nasio bahati mimi sio mbovu please usni karabat Nikumbushe kwenye mziki nasongesha harakati Ndo maana siwapi salamu nawalia bati Is fact na ndio kitu ninachopendaga Mm bize na msuba nyie kuleni laga Nilipotoka mbali na come kutoa ladha Watoto kaeni mbali pale naposoma lada Mishe mishe nyingi hata chance sipotezi Wababe wote chini nimefika mtetezi ila nishagundua huruma sio malezi K.town nawasha moto naenda kuzima mbezi
You may also like

Leave a comment

TOO HOT 🚒