Evil Twins
0:00
0:00
Nipo bizz I'm lucky washaangaika ka mimi hawapati huu moto fati sisi ndo maskoo muda wote tupo smart Nawacheza ka draft kwanza tushasema hatuogop kak mpaka washasema basi wametulia si tunasema nice watoto kaeni kando tuanze kushusha mambo tunawakimbiza anord predato mwisho ninakuwa Rambo mziki nimeanza kitambo madisi nayaweka kando hatufanani hatulingali so kwang huna jambo kwenye gem nimesharudi tena rapas kibao hawawezi Sema nimekalisha nimededisha mpaka hawataki Pima tena kwenye hip-hop mimi sio Lena haya nimaneno nayo Sema hawawezi Pima wakose uzima wakiniona wanahema
You may also like

Leave a comment

Scotty!!!!! I'm feeling!!
WET 🏀
DOPE 🍀
Keep grinding ✊