Chris H

Naiamini damu yako (Nyimbo ya wokovu.9) - Chris H

9 Plays

2 months ago

(Chorus) Uliyoyaahidi na'pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi napata yote kwako. (Verse 1) Naiamini damu yako na msalaba wako, Yesu, Mwokozi wangu wa pekee, napata yote kwako ila ina nena mema ndani ya maisha yangu sijuwe ni kupe nini, kwamba uliteseka musalabani na kuwachwa bali na utukufu wa Baba juu ya zambi zangu zote ila ni kwa neema tu naishi bali mambo yote sihezi kinjivuna kwani mi sikute bele yako Mungu. (Chorus) Uliyoyaahidi na'pata kwa imani. Huwezi kuniacha mimi napata yote kwako. (Verse 2) Kwa damu nimetakasika, na mto wa uzima wako waniletea nguvu tele, nina kushukuru eh Mwokozi wagu kwa sababu umeniokowa kwahakika napata yote kwako. Nafungwa kwa upendo wako, njiani unaniongoza, na katika hatari zote. Nili kuwa mufungwa tena ndani ya sheria kabisa na d'hambi uliondoa kwa neema kubwa. Naona furuha rohoni ku kutana na wewe neema ++7++ napata nguvu kwako. Ninakupenda, Bwana Yesu, wanisikia niombapo, wanipa jibu la maombi, napata yote kwako.

1 Comments

Leave a comment

You may also like