no love
0:00
0:00
Mara ya kwanza nilimtrace aka nishow anaitwa Tracy akaniona mi mtalii akadai ako na chali skia flow kama mi ni msanii mwambie ni sereal_billy si shikangi kapa mbili na cheza na ma mili nilimwacha sai Niko na Milly na venye hudunga mini anafanya na kuwa makini ka msee ako na akili
You may also like

Leave a comment