si tunajuwa waongo by nature

0:00
0:00
si tunajuwa waongo by nature

si tunajuwa waongo by nature watakam kusay this after that but in real Sense hao ni marat watakam kuita bratha but Watakushanda atijust because hawaizi shikwa na machanda kwani this slogan yao iliandikwa madanda atiwooh nitasaidia mama kibanda then wooh vijana mtatembea kwa street freely ju akuna sanse wa kuhanda atiwooh kutakuwa na fertilizer ya kutosha ya kupanda but hizo ni propaganda juwasha tupa hizo manifesto ka maganda nawadai kama huwezi mtolarete hama uende Uganda ama Rwanda ju deal zenyu zili sha nganda nahamwezi nitisha lazima uchumi itapanda evidence ya ugaidi siwezi peleka mbele ataukuwa kanda ataviliio za wananchi nikakinanda wakiskia watu wamegenya hio sasa ni parapanda ju atatuhutubia na wasee hukomit muder atiwatu kufa atifor something granda kwani wanaona sisi ni madanda

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

User avatar
87
Total plays
10
Followers
6
Following

You may also like