low low

19 Plays

5 days ago

Penzi letu sisi msumari wa moto, wasituone tu kwa mwili wakazani si watoto, tushapita mengi tumeshinda changamoto, na hii yote ni kwenda viral hatutaki bali local, maneno kibao si webaki hawana sera, hawana cha kusema si wanabadili madera wageuzie kisogo mamy nikuvalishe shela, mungu ashabariki mama amebariki na hata dady amebariki, wapo wengi sana toka mwanzo walotukana, waambie sio hapa ya sisi paka kiama, Nikupeleke moshi, singida , ukapajue  ukweni barida,  enjoy till i push a crown, i run this town, what i change is dollar and pound,  Wangu moyo umeuweka kiganjanii, penzi langu liipo matatani, najiuliza hivi ni wewe  au nishetani, moyo umeweka hadharani , vip huon kama utazua tafrani , coz kuna muda alitaka kuunyakua yule jirani, mwishoe utajikuta umeupoteza na so utani, maan mara kibao nakusihi utoe hapo japo ufiche ndani, ila husikii zako ni ubishi na ushindani, mbona tupo sawa chanin kisirani,

2 Comments

Leave a comment

5 days ago

Killed it! 🎯

You may also like