Rada ni chafu

12 Plays

2 months ago

Rada ni chafu nasi safi hii niya wale wote team mafisii nishai date dem blanda wohii sikujua ni mkisii nilichoma gode kwa stenje hapo ndio nilijua Rada ni chafu mistari zangu ni dirty so unaeza sema zote ni chafu mbleina alipigwa tisa na kidii wohii wohii kumbe alichaiwa na ndenga mboii nilimpiga mblena bare na tenga haha haha alibaki akicheka ever since kwenye game nawaacha gambling wakijiblame so nigga better stay on your lane hii pande unageuzwa kiraka sikumsuka huyo ngeus mjaka wawah ni gode iliwashwa matiree kwenye cargo me uchoma tukisonga alibonga mingi kasheshe ni shingo ilisonga sense upigwa mabare na si ndio umuonga maintain zote wakitudigloo washing baridi

1 Comments

Leave a comment

You may also like