Moyo safi (Nyimbo wokovu)- Chris H

0:00
0:00
Moyo safi (Nyimbo wokovu)- Chris H

Christian hymnal (chorus) Niwe! safi kabisa, safi kabisa (versé 1) Damu yako yenye baraka inayotuosha makosa. Ilitoka musalabani, Bwana Yesu ulipokufa. nastahili pata hukumu, nasiwezi mimi kujiosha. unioshe katika damu, ni pate kuwa safi kanisa. (verse 2) Yesu ulivikua miiba, kuangikwa juu ya muti. Ulivumiliya mateso, maumivu na majeraha Ninataka kijito hicho n'ende n'a nikasafishwe sana! unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa. (verse 3) Baba kweli nina makosa, moyo wangu wa udhaifu; mimi mwenye dhambi kabisa nitaona wapi mwokozi? Yesu kwako msalabani naja ninakuamini sasa. Unioshe katika damu nipate kuwa safi kabisa. (verse 4) Bwana, nimefika karibu, unilinde kwako, milele! ufungue kila kikamba, unijaze moyo mwenyewe! nakaribu ya musalaba

1 Comments

Leave a comment

Author
2 years ago

User avatar
2.78k
Total plays
287
Followers
377
Following

You may also like