Wrld1414
Wrld1414

CONSISTENCE FREESTYLE

CONSISTENCE FREESTYLE

4 Plays

8 months ago

LIFE'S AIN'T FAIR life's not fair kujali tumbo ndo watu tuna care ndo mwanzo wa madili haramu, dada zetu wanadhalilika is that fair it's not fair,wanaua mpka ndugu, eti kisa pesa,they don't care kuna ile siku na ile saa ngumu, sambamba na adhabu watapewa ngoja itimie hasira ya mungu tuone mizani wapi itaelemewa wajane wanakatiliwa badala ya kusaidiwa albino wanauwawa badala ya kulindwa yatima wanatumikishwa badala ya kusitiriwa walemavu ndo kabisa baadhi ya jamii zawapinga life's not fair wananchi wanalia viongozi wanaotutumikia, wanacheka na kujaza vitambi maisha kwao mazuri shida za wananchi hawatambui wanasubiri kampeni wahonge pple pilau na mbuzi wasahau walipolizwa watoe tena kura golddiggers wazidi kula na kuwapa tena muda ndo kile cha nguoni cha kukula BADO SIJASEMA na nitasema, hali hii siwezi ivumilia, kwakuwa bado nahema, we endelea kunivumilia, simaanishi mimi chanda chema, pete kwangu tofauti ya punda na milia safari bdo ndefu nachechemea, I'ma real nigga bado napambania, maumivu ya moyo nakemea, I want peace in my mind umenisikia, siwezi tena kuendelea, kunguru hafugiki sikusikia, labda nakosea, kunguru asiefugika ni mimi najiskia, ngoja nikaze bawa ntapotea, kwenye ndoto zako sitapitia, who're u by the way, nlidata the way una wear, sikujua there's a day, utanuka underwear, I don know what to say , let's move on like yeah, nimeshakubali kushuka bei, acha ntafute panaponifaa, we si umeshapanda bei, can't afford mimi hoi mlala njaa, what i need to say, bora tu umrudie Jah, no other place to stay, if possible mpende tu mama,

1 Comments

Leave a comment

You may also like