NO

3 Plays

8 months ago

ANYMORE I don't care anymore, cuz love ssa imepotea, ulitupa moyo wangu kwa shimo, now unaregret nakuchukia, zile mambo za love u more, nilikupa shilingi ukachezea, now imedondoka kwa shimo, unajitafta kujiliza ili kunirudia, this time i have to say NO, kiukweli sitoweza, nmezoea swaga zako, sijui kwa lipi utandanganya, sina mda wa kicheko , na ww nakuchanganya, kama ulivozoea kunipa kilio, dear x umejichanganya, kujitafta kwangu ni kusaka kipigo, for real umeyakanyaga, nmechoka kuangua kilio, ugomvi kama simba na yanga, ndani hakuna amani i say NO, na mtandao wako nliujua mapema, that's why nkajiondoa, kimya kimya, sikutaka kukuboa, nkarudi street kujichanga, studio beats kuzikoboa, nkapoteza mda kkusahau ww danga, nkajua najikomoa, nkatamani kuwa mwanga, kujitoa kwenye kiza kukuondoa im tired i say NO natafta mwanga, kuiona njia, ila napotea kwa mwanga, nazificha hisia, operation komboa wanga, nlichojifunza hata mwanga , unapoteza na kukuficha, usitambue njia hata , ule sana wanga, ila bado utachizika, kwaio usikariri tu giza now i shout no,

1 Comments

Leave a comment

You may also like