succes

0:00
0:00
succes

SUCCESS it's not party of my life, but it's part of my vibe, kukosa au kupata,its all about life, nlihustle nkakomaa, ukija na jokes nakuchoma knife,๐Ÿ”ช ndo maana nipo hapa, niggah nakula goodlife, acha ndoto za mchana, mjomba ukitaka thug life, we pambana ukiingia kwa mtaa, japo wachawi nyomi sana, don't fucked up, the wrld has no mercy, ingia chaka, mjini kumejaa kesi, mwisho kupora na kukaba, wahuni wakikushika utaipata, utasali sala zote, ila moto kama kawa, piga kazi sana, kama unam3za dawa, haina mbambamba, kama kawa kama dawa, baniani mbaya , kiatu chake noma sana. eeeh ndo nazidi takata, no more questions ndo nshajipata, mkichunguza sana ndo utata, wanga vikao mtakaa, boss dau nazidi kupanda, mabishoo mtajiona takataka, bebe zenu kama haisi nawapanda, endeleeni kubeba ndoo na kata, jikute mbishi unaishi unavyotaka, life has no choice mwenyekiti wa mtaa, niggah nlishakuwaga dalali wa kitaa, pindi nashika pen na maji nakata, life nlilijua mapema sema sikutaka, home wanijue bora kuniona fala, taarifa isambazwe mpka serikali za mitaa, mimi ndo yule nsingekuwa hivi bila mama, we dingi si ulijikuta mjanja ukanikataa, ndo ujue maisha sio ww unapanga.DAMN!!!!! verse namba tatu, sihongagi kina fatu, kipaumbele mapenzi katu, ela kwanza na pili mengine ndo tatu, msikitini uwezi ingia na viatu, kaa mbali bandubandu, hala hala na roho yangu, usnitch haufai kwangu, we kajaribu pengine chafu yangu, pesa kipaumbele ndo salamu yangu, pepo nipitie kando naipenda roho yangu, so usione una bahati kupita kwenye angle zangu, jichunge chunga utu wako ,sio wangu eti heshima marejeo usichezee pesa zangu, nyooo,heshima pesa mtu wangu, tafuta ela ogopa kuombwa alfu tatu, afu sikia,ukizipata kuwa na nidhamu, pesa ni maua znaisha kama utamu.true couple is all we got,๐Ÿค— please don't go so far,๐Ÿฅด u're so sexy oh my God,๐Ÿฅฐ always need u by ma side,๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿฆฐ I'll keep my eyes on ur side,๐Ÿ’… when u come on my left,โฎ๏ธ I'll be in ur right,โญ๏ธ let devil be in their side,๐Ÿ˜ˆ they won't kill our vibe,๐Ÿ˜‡ the way u ride me as a bike,๐Ÿšฒ like birds with same colour, babe together we gonna fly, I'll be more than mabala, my love to make u laugh, forgive me when im wrong mama, to straightening our love, our courtship is so strong mama, for them is weaker enough, let me sing dear mama, to make my self so tough, u so fuckin pretty oh nana, like konde we gonna cough,

1 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

User avatar
173
Total plays
35
Followers
24
Following

You may also like