mox montana alright
0:00
0:00
alright alrght pigo za kwangu nazao tofauti wanajua sana wagumu kusema alright chuki ni chukie kama kivuli nitakufata muda wote aright kaka chizi akili kichwani wakushindana na mimi sijaona mpinzani ligi hii ndogo muna hemea mipira nikitoa album si mtachanganyikiwa tatizo ni ukubwa au akili zenu chakula cha tembo akiweze swala hawawezi kutulia wakiona unapata iwe pesa au kupewa msaada wanataka kila siku uwaombe wao tunazikwa chini wazuri ngozi zao basi ushazoea kubagua kizuri kwako watu baki si wengine pata wewe zetu dua
You may also like

Leave a comment

Amazing 💎
Bomb 💣