mox montana baba

0:00
0:00
mox montana baba

Kosa Uuumh Kama ninakosa nisamehe Naomba nina kosa Sijajipa kiburi ila hasira baba Nilitegemea elimu alafu haikunipa msaada Baada ya kujua wewe ndo wangu baba Nilifanya kila kitu pengine uone wangu msaada Kumbe unakili za machifu Unapenda vya kwanza ubaya nifanyiwe mimi wewe uwazi ata Ila nikifanya mimi vikao vinaanza Skuizi nimechagua njia ambayo sijutii Wakunipenda mimi selengo au vinny Mana wengine wababaishaji ushauri asie fanikiwa unisaidie nini tutakutana ukubwani Mvi zikiwa nyingi Kuishi na watu kazi Mshara sipati umepitia magumu Pole ndo utafutaji Wanakuombea ufee ili wapate mirasi Bado wazidi kupambana waokoe jahaazi.....,kutwa kushindana afu sioni mfanyaji kazi basi tuu kosa langu silitambui Kutwa kaka kuvunja udugu Ndo ataishindwa nazi Alafu hawazi maendeleo kutwa kuwawazA watu embu punguza baba unabeba sana ilo kapu kuna mtu alisema nikae Mana kwa yako magoli tutakuja tukimbizane bora iwe fea Hpo tutakuja tuuane bana

1 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

User avatar
244
Total plays
24
Followers
1
Following

You may also like