Thas boy28
Thas boy28

nabii mkuu

nabii mkuu

3 Plays

10 months ago

walikuepo manabii lkn sikuwaona nasikia kuna musa yusufu pia na yesu nikisoma kwenye baibo na muona nabii eliya na manabii wengine mamia kwa mamia Mungu awalaze pema peponi kwakutulia kizazi changu mimi nasema kwa ulimi kwa macho yangu mimi namuona nabii mkuu akifanya mambo makuu viwete wanatembea mabubu wana ongea viziwi wanasikia na vipofu wana shuhudia baba umefanya jambo jema kukutanisha vijana kwa pamoja tuna sema baba jodevi na nabii wabwana nabii mkuu mleze wawana mpenda vijana tuna kupenda sana maana una tuongoza vyema

1 Comments

Leave a comment

You may also like