mox montana freestyle

0:00
0:00
mox montana freestyle

Walinipamba aiseee mpaka nikaona duuh hii misifaa aisee Kumbe ni trush Ukiwanacho ndo wakugande mzeee Pumzi kisoda unakunywa bear Kichwa kikubwa ilo ukuwambiwa Kila ninacho sema Uwezi kisikiA.naingia kwenye rapaz saba wa dunia nini Hapo siwezi kurudia Sungura mjanja utafichiwa Pisi iwe kali utapigiwa kama ni kweli simu zinaita We ata moja utaickia Watajipa kazi mshahara till i die Nimejipata af hamfikii together we can af swing Wabishi kali watoto wawapi Majukumu siwapingagi Ilo ilo ndivo ndivo Kama tai igo igo Shishkiki kama ulimbo Yani nipo kama sipo Sipo sipo Kuna wAna ukiwaona simanzi Afu sio majeshi midomo iko wazi Mwaka huu umefanya nini Unaulicho badili zaidi ya mswaki Tunge kuwa kama samaki Munge uliza tumekwama wapi Tatitizo njia zenu sipiti Na manisha sirudi rivazi

1 Comments

Leave a comment

Author
3 years ago

User avatar
244
Total plays
24
Followers
1
Following

You may also like